American English Swahili
Hello Hujambo
Good morning Asubuhi njema
Good afternoon Mchana mwema
Good evening Jioni njema
Yes Ndiyo
No La
Please Tafadhali
Thank you Asante
You are welcome Karibu
Excuse me Samahani
I’m sorry Pole
How are you? Habari yako?
What is your name? Jina lako ni nani?
My name is... Jina langu ni ...
Nice to meet you Ninafurahi kukutana nawe
Goodbye Kwaheri
Good night Usiku mwema